Dkt
Jeff Balch – Mkurugenzi wa Shrika lisilo la kiserikali linalosaidia
mabunge wa nchi za Jumuiya ya Madola (European Parliaments with
Africa-AWEPA) (wa pili kulia), Meneja wa Mradi B Kristen Heim
wakijadili jambo na Mwenyekiti wa Bishara, Maendeleo na Uhusiano wa
SADC-PF Mhe. Habib Mnyaa wakati wa mkutano wa 31 wa mabunge ya nchi
wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika –SADC-PF mjini
Maputo Msubiji, leo. Mwingine ni Bw. Paul Msoma, Afisa katika Kamati ya
Bisahara, Maendeleo na Uhisana wa SADC-PF. Awepa itakuja Tanzania mwezi
Spetemba mwaka huu kuona jinsi ya kizisaidi kamati za Bunge kujijengea
uwezo.
OSHA INA NAFASI MUHIMU YA KUWEZESHA SHUGHULI CHA UZALISHAJI-KATIBU MKUU KAZI
-
Wajumbe wa Baraza la OSHA wakifuatilia majadiliano mbalimbali
yaliowasilishwa katika kikaocha Tano cha Baraza la Tano la wafanyakazi wa
OSHA kilichofanyik...
4 hours ago


No comments:
Post a Comment