Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 2, 2012

EPIQ BONGO STAR SEARCH LINDI YAFUNIKA MBAYA NDANI YA POLICERS MESS! OFFICE



MADAM RITA PAULSEN, AWAICHI MAWALLA WA  ZANTEL NA RANJIT WA ZANTEL WAKIWA KWENYE MISS LINDI 2012
SALAMA, MASTER J AND RITA PAULSEN KWENYE JUKWAA LA MISS LINDI 2012 KUSEMA MACHACHE KUHUSU MASHINDANO  HAYO

MISS LINDI 2012 AKIONESHA KIPAJI CHAKE CHA KUPIGA "SAXOPHONE".

MASTER J AKIMTUNZA SUMA LEE WAKATI SUMA LEE AKIIMBA WIMBO WAKE MAARUFU  "CHUNGWA" KWENYE JUKWAA LA MISS LINDI 2012.

MTANGAZAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, CAESAR DANIEL AKIJIANDAA KUWAHOJI KUMI BORA WA LINDI

KUNDI LA WASHIRIKI WAKICHUKUA PICHA YA PAMOJA WAKATI WAKISUBIRI KWENDA KUWAONA MAJAJI
MARIA MTANDI NA SAID LIPONDA WAKIPIGA POZI KWA AJILI YA PICHA WAKISUBIRI KUINGIA KUWAONA MAJAJI.
MADAM RITA PAULSEN AKITOKA KUONGEA NA WASHIRIKI WALIOSHINDWA KINGIA KWENYE TANO BORA YA LINDI AKIWASHAURI KUENDELEA NA MUZIKI 

WASHIRIKI WAWILI WAKIFANYA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA KUINGIA KWA MAJAJI
MWAKILISHI WA TAASISI YA KUCHANGIA DAMU SALAMA, DESTERIA NANYANGA, AKIWAELEZA WASHIRIKI KUHUSU UMUHIMU WA KUCHANGIA DAMU NA KUWAPA TAARIFA ZOTE MUHIMU KUHUSU UCHANGIAJI WA DAMU
KUNDI LA WATOTO NA WATAZAMAJI NJE YA GETI YA BWALO LA POLISI

WASHIRIKI WAKIPEWA MAELEZO KUHUSU USAHILI 

WASHIRIKI WAKIPANGA MSTARI KUCHUKUA NAMBA ZAO ZA USHIRIKI
Judges: Madam Rita, Master J na Salama

Mshiriki akiwa anaimba mbele ya majaji
Master J akiwa anatafakari

Washiriki wakiwa wanasubiri zamu yao

No comments:

Post a Comment