Hapa
ni Kimara Mwisho ambapo kuna nguzo za umeme ambazo zinatakiwa kusogezwa
ili kupisha zoezi la upanuzi wa barabara hiyo (Morogoro Road).
Itatakiwa nguvu ya ziada katika kuhakikisha nguzo hizi zinahamishwa bila
kuleta madhara. Si nguzo hizi pekee bali zipo nyingine nyingi eneo hili
kama picha ifuatayo inavyo onekana. Kazi kwenu wakandarasi.

No comments:
Post a Comment