GHOROFA LILIOPO KATI YA KARIAKOO LIVING STONE JIJINI DARESALAAM LINAWAKA MOTO!
Jengo la Ghorofa lililopo mitaa yaKariakoo na Livingstone,
jijini Dar es Salaam, likiwa limeshika moto leo mchana kutokana na sababu ambazo hazijajulikana mara moja. Chumba kimoja kilichokuwa na chupa kibao za manukato kimeteketea.
TUTAKUWA WAKALI- DKT AKWILAPO
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
amesema watakuwa wakali kwa watumishi watakaokiuka tarati...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment