Rais
Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Mkewe
Mama Salma Kikwete kwenye Uwanja wa Mpira wa miguu wa Amahoro mjini
Kigali Rwanda kwa ajili ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Rwanda
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa
Rwanda wakipokea heshima za marais muda mfupi baada ya Rais Kikwete
kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali kuhudhuria
Sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Rwanda leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment