Mwili
wa mtu ambaye haikuweza kutambuliwa mara moja uliookotwa ukiwa umelazwa
pembeni ya barabara katika mtaa wa kawajense hapo jana majira ya saa
moja asubuhi, Mwili huo ulikutwa ukiwa na jeraha kichwani na huku ukiwa
umevuliwa Suluali na viatu na watu wasiojulikana
Askari
wa kikosi cha upelelezi wa wilaya ya mpanda mkoa wa Katavi wakichukua
maiti ya mtu huyo ambaye hakuweza kutambuliwa jana katika mtaa wa
kawajense majira ya saa moja asubuhi wakiwa wameweka kwenye machela kwa
lengo la kupakia kwenye gari lao la polisi ambapo waliupeleka kwenye
chumba cha kuhifadhi maiti cha hospital ya wilaya ya mpanda
Picha zote na water Mguluchuma Katavi yetu blog
No comments:
Post a Comment