Wachezaji wa zamani katika timu za Yanga, Simba na timu ya Taifa, wanaunda kikosi cha timu ya Tanzania Eleven, wakiwa katika mazoezi ya pamoja kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam,leo jioni kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao wa kirafiki na timu ya wachezaji wanaunda kikosi cha wachezaji wa zamani waliowahi kuichezea timu ya Real Madrid, mchezo unaotarajia kupigwa siku ya jumamosi kwenye Uwanja wa Taida jijini.
Makipa wa timu hiyo,Mohamed Mwameja (chini kushoto) na Peter Manyika, wakiwa katika mazoezi hayo ya maandalizi. Picha kwa hisani ya Amani Tz.
No comments:
Post a Comment