| Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe akitunukiwa Uwakili na Jaji Mkuu Othman Chande katika hafla ya kuwatunuku uwakili wanasheria wa serikali iliyofanyika leo jijini Dar es salaam |
| Majaji wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watunukiwa akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (Wa nne kushoto mstari wa nyuma) |
| Baadhi ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hiyo. |
| Jaji Mkuu Othman Chande akiwa na watunukiwa wa Uwakili |
| Mwenyekiti wa Tume
ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Prof Ibrahim Juma akishuka katika
basi maalum waliopanda majaji wakati wa hafla ya kuwatunuku Mawakili
wapya wa Serikali leo.
|

No comments:
Post a Comment