Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 12, 2012

Kikwete Atoa Msaada Wa Baiskeli Kwa Wagani Wa Njombe Na Iringa




Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma (kulia) akimkabidhi baiskeli Mgani nje ya ofisi yake.


Baiskeli hizo zimekabidhwa kwa wagani hao na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete. Chanzo: www.frankleonard.blogspot.com

No comments:

Post a Comment