Askari Polisi, Sebastian Tall akiteketeza bangi kilo 350 kwa amri ya mahakama.
Askari akiteteza bangi hiyo.
Julai 09,2012.
MAHAKAMA ya hakimu mkazi mkoani
Singida, imeteketeza kilo 350 za bangi aliyokamatwa nayo Pascal
Bangii(31), Wilaya Nzega Mkoani Tabora, na kukiri kosa lake kabla ya
kuhukumiwa miaka kumi jela.
Uharibifu huo umefanywa kwenye viwanja
vya Mahakama chini ya hakimu Chiganga Tengwa, Flora Ndale na ulinzi
mkali wa jeshi la Polisi, Mjini Singida, huku ukishuhudiwa na baadhi ya
Wananchi.
No comments:
Post a Comment