Timu
ya Taifa ya Olimpiki inaondoka leo kwenda nchini Uingereza kushiriki
michezo ya 30 ya Olimpiki itakayofanyika jijini London. Wachezaji
watakaoondoka ni pamoja na wanariadha Samson Ramadhan, Mohamed Msindoki,
Faustine Mussa (marathon) na Zakhia Mrisho anayekimbia mita 5,000. Pia
Bondia pekee katika safari hiyo ni Seleman Kidunda, kwa upande wa
kuogelea utawakilishwa na Magdalena Moshi.
WAHIFADHI TFS SAO HILL WAJENGEWA UELEWA WA AFYA
-
Mhifadhi Mkuu wa Shamba la Miti Sao Hill, PCO Tebby Yoramu,akiwa anapima
afya akiwaongoza watumishi wengine wa Zao Hill kupima afya zao na amesema
mafunzo...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment