Akizungumza na Teeentz.com via4n kutoka wilayani Kahama, Bwana Misosi
amefunguka kuwa wakiwa wilayani Muleba , walipanda boti maalumu kuelekea
katika moja ya visiwa vilivyopo ndani ya ziwa Victoria lakini muda
mfupi baada ya safari yao kuanza boti hiyo ilipata hitilafu. …
Akizungumza
na Teeentz.com via4n kutoka wilayani Kahama, Bwana Misosi amefunguka
kuwa wakiwa wilayani Muleba , walipanda boti maalumu kuelekea katika
moja ya visiwa vilivyopo ndani ya ziwa Victoria lakini muda mfupi baada
ya safari yao kuanza boti hiyo ilipata hitilafu.
soggy Dog kushoto“Ilikuwa ni wakati mgumu kwetu, boti ilipata hitilafu, tunashukuru Mungu jamaa wengine waliokuwa kwenye safari na boti zingine walifika na kutuokoa halafu ile tuliyokuwa tunatumia sisi ikavutwa na kurejeshwa mahali tulipoanzia safari” alisema Bwana Misosi.
Akiendelea zaidi Bwana Misosi aliarifu kuwa kutokana na ishu hiyo waliamua kusitisha ziara yao katika visiwa hivbyo na kurudi Muleba mjini kabala ya kukwea ndiga kuelekea wilayani Kahama kwa shoo nyingine.
STORI NA DISMAS TEN TEEN TZ

No comments:
Post a Comment