Habari kutoka Iramba mkoani Singida zinapasha kuwa vurugu zimezuka
katika Mkutano wa Siasa baada ya wafuasi wa chama kimoja kutoa lugha za
matusi kwa kiongozi wa Chama Kingine cha siasa ambaye pia ni Mbunge na
wananchi waliokuwa mkutanoni hapo kuwaambia kuwa waache matusi ndipo
watu hao walifukuzwa hadi majumbani mwao na kushambuliwa vibaya na
hatimaye Kiongozi Mmoja kudaiwa kupoteza maisha.
NOTI MPYA KUANZA KUTUMIKA TAREHE 1 FEBRUARI, 2025
-
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto), akipokea
Noti Mpya kifani za shilingi elfu kumi, elfu Tano, elfu Mbili na shilingi
elfu ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment