PICHA 7 ZA NDEGE YA AIR TANZANIA MPAKA COMORO, IMERUDISHA SAFARI.
Shirika la Ndege la AIR TANZANIA limerudisha safari zake kati ya DAR
na MOROCO ambapo sasa itakua inasafirisha abiria mara nne kwa wiki.
.
Mwimbaji mkongwe nchini, Bi. Kidude, alikuwa mmoja wa abiria kwenye
safari hii. Kaimu Mkurugenzi wa Biashara ATCL, Bi. Mwanamvua Ngocho
alichukua fursa kwenda kumsalimia.
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment