Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 3, 2012

Tanzania Medical Equipment wawakaribisha bandani kwao Saba Saba




Wauzaji wa vifaa mbalimbali vya mahospitalini Tanzania Medical Equipment wanawakaribisha wadau na watanzania kwa ujumla pamoja na wageni mbalimbali kutembelea banda lao lilipo katika Maonesho haya ya kimataifa ya Biashara Dar es Salaam yanayoendeleo katika viwanja vya Mwal. JK Nyerere barabara ya Kilwa au maarufu Saba Saba.

Tanzania Medical Equipment wapo Banda la Ali Hassan Mwinyi na wana vifaa mbalimbali kwaajili yako wewe na mahitaji ya Hopitali au Zahanati yako.

No comments:

Post a Comment