Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akiimba katika moja ya shoo walizoanza kuzifanya Finland wakati wa Tamasha la First AfrikaChocky akicheza sambamba na wanamuziki wakeKiongozi wa wacheza shoo, Super Nyamwela akicheza sambamba na wacheza shoo wenzake FinlandWacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa tamasha hilo nchini FinlandKiongozi wa Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akiwaongoza wazungu kucheza baada ya kuvutiwa na staili za wacheza shoo wa bendi hiyo.Wacheza shoo wa Extra Bongo wakicheza huku wakiwa kwenye vazi la asili ya Kitanzani nchini Finland kwenye Tamasha la Fist Afrika
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND
-
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akielezea vivutio
vya utalii vya Tanzania pamoja na filamu ya Tanzania: The Royal Tour,
wakati wa M...
1 hour ago







No comments:
Post a Comment