MMOJA
wa madaktari katika hospitali ya wilaya ya Geita aliyejulikana kwa jina
moja la Dk.Makomba,akimhudumia mmoja wa majeruhi wa ajali ya magari
matatu yaliyotokea wilayani Geita katika kijiji cha Chibingo.
BAADHI ya ndugu jamaa na marafiki wakitambua miili ya marehemu waliokufa katika ajali ya magari hayo.
MDAKTARI na Manesi wakijiandaa kutoa huduma kwa mmoja wa majeruhi wa ajali ya magari hayo katika hospitali ya wilaya ya Geita
INAUMIZA
NA KUHUZUNISHA LAKINI NDIO UKWELI WENYEWE’’HII ni baadhi ya miili ya
watu waliokufa katika ajali ya magari matatu iliyotokea jana Jumapili
majira ya saa 8:30 mchana Mkoani geita.
Majina
ya marehemu hao ni Maria Elisante (18) mkazi wa Mganza wilayani
Chato,Masasila Benjamin (17) mkazi wa Mkolani mjini Geita,James
Ntungirwenge (36) Mkazi wa Nyankumbu Geita,na Eliud Ngovongo (36) pamoja
na watoto wake watatu Amin (10),Emison(7),na Sara(4) wote wakazi wa
Kalangalala mjini Geita.
(Picha na David Azaria wa Geita yetu Blog )
Tunaomba Radhi kwa Picha zote mlizo tazama
No comments:
Post a Comment