HI ni moja ya gari yetu ya altezza ambayo ilienda jijin dodoma kwa ajili ya kupeleka family kula sikuku, lakini kwa bahati mbaya juzi wazee wa kazi waliingia na kufumua taa zote za nyuma, power window pamoja na site mirrorthadhari;kwa hiyo ndugu wasomaji blog ya ujanatz ilipoenda katka kituo kikuu cha polisi cha dodoma tukapewa taarifa kuwa gari zaidi ya saba zishapigwa, na inavyoonekana hao jamaa ni maprofressiona so chukua tahadhari kabla hujalizwa!
MBUNGE MAVUNDE AANZISHA UJENZI WA SHULE KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA
NGAYAGAE-IPALA
-
Mbunge wa Jimbo la Mtumba Mh. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na wananchi
wa eneo la ya Ngayagaye kata ya Ipala wameanzisha ujenzi wa madarasa ya
shule ya...
57 minutes ago



No comments:
Post a Comment