"Dada akutwa kalala kwenye kabati ya chips maeneo ya
Yombo Vituka leo asubuhi. Muuza chips alifunga kabati na kufunga eneo lake la
biashara kwa kufuli kisha akaenda kulala. Asubuhi alipofungua ndipo akamkuta
mwanadada amelala juu ya chips na mishkaki akiwa hajitambui. Bado haijajulikana
aliingiaje maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa.!"
TUTUBA: THAMANI YA FEDHA KUBAKI IMARA KUELEKEA KIPINDI CHA MAVUNO
-
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amesema thamani ya
fedha itaendelea kuwa imara kuelekea kipindi cha mavuno ili kuwawezesha
wakulima...
5 hours ago


Duuuh noma sana aisee
ReplyDelete