Foleni
ya maelfu ya wananchi wa Ghana wakimiminika kwa siku ya pili mfululizo
kwenda kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa rais wa nchi hiyo
Marehemu John Evans Atta Mills katika Ikulu jijini Accra leo jioni.
Mazishi ya kiongozi huyo yanatarajiwa kufanyika kesho na kuhudhuriwa na
marais takriban 16 wa Afrika
Foleni haiishi
Mchana kutwa foleni haiishi
Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment