Robin van Persie amefunga bao lake la kwanza Manchester United na kukiwezesha
kikosi cha Sir Alex Ferguson kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Fulham,
Uwanja wa Old Trafford.
Van Persie, ambaye alitokea benchi kuingia uwanjani Jumatatu United ikifungwa na
Everton baada ya kukamilisha uhamisho wa pauni Milioni 24 kutoka Arsenal, alipewa
nafasi leo, wakati Wayne Rooney akianzia benchi.

Robin van Persie akifunga bao lake la kwanza Manchester United

Van Persie akipongezwa ma wenzake baada ya kuifungia bao Manchester United

Robin van Persie akifurahia bao lake la kwanza akiwa na jezi ya Manchester United

Shinji Kagawa akiifungia United

Shinji Kagawa akishangilia.

Rafael (Namba 2) aliifungia Manchester United

Rafael akishangilia bao lake

Kipa wa Fulham, Mark Schwarzer

Acha roho mbaya za chelsea mbona ha2zioni?
ReplyDelete