MCHEKI NGASA NA GARI YAKE AINA YA VEROSA MPYAAAAA AKIWA AMEANZA MAZOEZI NA SIMBA
Aliyekuwa
mchezaji wa Azam,Mrisho Ngassa akiwa ameegemea gari yake aliyokabidhiwa
jana mara baada ya kuwasili katika ufukwe wa Coco Beach kwa kuungana na
wachezaji wenzake wa Simba baada ya maridhiano ya Azam,Simba na yeye
kumalizika
SANGU: BODI YA WADHAMINI WCF KUTEKELEZA DIRA 2050
-
Na. OWM-KAM – Dodoma
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) imetakiwa kuweka
mikakati ya kuanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maende...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment