Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 22, 2012

MTOTO ATELEKEZWA NA WAZAZI BAADA YA KUUNGUA MOTO, TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZA MAJERAHA YA MOTO YA MTOTO HUYU






Mtoto Juliana Mwinuka wa kijiji cha Mbugani kata ya Mavanga wilayani Ludewa Mkoani Njombe, anaomba msaada kwa wadau mbalimbali ili kumsaidia kupata matibabu baada ya kuungua moto na hali yake ni mbaya sana.
Mtoto huyo ambaye kwa sasa anaishi na bibi yake ambaye hana uwezo, baada ya baba mzazi kumtelekeza mara tu baada ya kupatwa na mkasa huo miaka miwili iliyopita.
Juliana ameishi katika maumivu hayo kwa miaka miwili na ha

No comments:

Post a Comment