KIUNGO Fabrice Muamba ameambiwa anahitaji upasuaji zaidi wa moyo, kama anataka matumaini ya kucheza tena soka.
Kiungo
huyo wa Bolton yupo Ubelgiji kwa mtaalmu wa tiba za moyo, miezi mitano
baada ya 'kufariki dunia kwa dakika 78' kwenye Uwanja wa White Hart Lane
katika mechi ya Kombe la FA dhidi ya Spurs.
Mchezaji
huyo mwenye umri wa miaka 24, amemtembelea mtaalamu Pedro Brugada kwa
matumaini ya kutimiza ndoto zake za kurejea uwanjani siku moja kucheza
tena soka.
Fabrice Muamba
Muamba alipofariki kwa dakika 78..
NA BIN ZUBEIRY
No comments:
Post a Comment