Marehemu Hassan Stanley .
Kijana
mmoja aliyefahamika kwa jina la Hassan Stanley asubuhi ya kuamkia leo
majira ya saa kumi na moja katika maeneo ya uwanja wa mbuzi Kiloleli
jijini Mwanza, ameuawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa na
kuchomwa moto hadi kupelekea mauti yake.
Umati uliokuwa kwenye tukio. |
Wananchi wa maeneo hayo wakiangali huku wakijiuliza maswali ya kwanini matukio ya kujichukulia sheria mikononi bado wanaendekezwa na Wananchi. |
Koki aliyokutwa nayo marehemu Hassan Stanley. |
No comments:
Post a Comment