Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 17, 2012

MWANA FA KUWA JAJI WA DONT BREAK THE BEAT NCHINI NAIROBI



Kama tunavyofahamu kuwa tumebakisha siku chache tu za kuweza kumchagua yule ambaye atakwenda kuiwakilisha Tanzania katika shindano la Nokia Asha Dont Break the Beat. Na Mwakilishi wa Tanzania atachaguliwa tarehe 25 ya mwezi August mwaka huu pale Club Sunciro na kwenda Nairobi kwenye fainali. Katika kuhakikisha fainali inakwenda vizuri msanii wa Hip Hop in Tzee Music Industry Hamisi Mwinjuma alias Mwana FA amechaguliwa kuwa  mmoja wa majaji katika shindano hilo. Mwana FA ataungana na Msanii toka pande za area code 254 Nazizi katika jopo la majaji katika shindano hilo.
Congratulation to Mwana FA.
SOURCE BAABKUBWA

No comments:

Post a Comment