Ramadhan Chombo Redondo ana mkataba na Azam FC hadi June 30,
2013... Kwa maana hiyo Chombo ni mchezaji halali wa Azam FC na Azam FC haina
mpango wa kumuuza isipokuwa kumuongeza mkataba, Simba waangalie wasije
wakapoteza pesa zao kama kwenye suala la Jeba. NUKTA
WAFICHUENI KAUSHA DAMU ILI KUIONDOA JAMII KWENYE MATATIZO
-
*Kiongozi wa Timu ya Wataalamu wa Elimu ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha,
Bw. Salim Khalfan Kimaro, akitoa elimu ya fedha kwa wakazi wa Ganyange
Wilayani T...
4 minutes ago
No comments:
Post a Comment