Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, August 18, 2012

PATI LA UBINGWA SIMBA SC LILIVYOFANA UWANJA WATAIFA


Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo, Dk Fenella Mkunagara (kushoto)akimkabidhi Kombe Nahodha wa Simba B, Hassan Hatibu 

Simba wakishangilia kombe lao baada ya kukabidhiwa

Dk Mukangara akikagua wachezaji wa Simba

Kikosi cha kwanza cha Simba B

Mtibwa 'full muziki'

Hatari langoni mwa Mtibwa

BAO LA KWANZA; Edward Christopher akishangilia, nyuma yake Kado akilaumiana na beki wake 

KAKA VIPI? Kocha wa Mtibwa Sugar akizungumza na Nahodha wake, Salum Swedi

Edward Christopher akitafuta mbonu za kumtoka Yussuf Nguya

Edward anamtoka Nguya

Kado anadaka, huku Swedi akimlinda

Haroun Athumani akimburuza Swedi

Rashid Ismail akimuinua Edward, baada ya kugongana na Kado, aliyelala chini

Kado anatibiwa, huku mabeki wa Mtibwa wakiulizana kulikoni wanaburuzwa na wadogo zao

Hapa wakati timu zikijiandaa kuingia kwenye dakika 30 za nyongeza

Mawaidha kuelekea dakika 30 za nyongeza

Edo kafunga la ushindi

Edo kulia akishangilia na mwenzake

Ibrahim Ajibu akishangilia kwa staili yake mbele ya jukwaa la Yanga

Matokeo ya mwisho

William Lucian kulia akijiandaa kumtoka mtu

Wachezaji wa Simba wakiwa wamembeba kocha wao kumpongeza

Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' akimpongeza kocha Matola

Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala akimpongeza Abuu

Huyu ndiye Golden Boy wa Simba baadaye, Edward Christopher

Edward akikabidhiwa mfano wa hundi ya Sh. Mlioni 2 Edward

MVP Abuu akikabidhiwa mfano wa hundi

Wachezaji wa Mtibwa wakipewa Medali zao

Nahodha wa Mtibwa, Swedi akipokea mfano wa hundi ya Sh. Milioni 20 zawadi ya washindi wa pil

Mabingwa wa kwanza wa Kombe la BankABC Sup8R             

No comments:

Post a Comment