Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, August 18, 2012

Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa mpaka



Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda mjini Maputo Msumbiji leo asubuhi kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa mpaka kati nchi hizo uliopo kwenye ziwa Nyasa.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda na wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za kidiplomasia kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro huo
 (picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment