Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 20, 2012

SAMATTA AIBEBA MAZEMBE AFRIKA



Mshambuliaji wa Taifa Stars Mbwana Samatta jana alifunga bao la ushindi wakati TP Mazembe ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Zamalek katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufufua matumaini ya Klabu hiyo kuchukua uongozi wa kundi

No comments:

Post a Comment