Marijani
Abubakar Msofe ‘Papaa Musofe’ (58) akiingia kwenye Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu leo, kwa ajili ya kusomewa mashitaka katika kesi ya mauaji
inayomkabili
Papaa Musofe akiandikisha jina kwa maofisa wa Polisi mahakamani hapo
Papaa Musofe akipandisha ngazi za mahakama ya Kisutu kwenda kusomewa shitaka la tuhuma za mauaji
Papaa Musofe akipanda gari ya polisi kurejea mahabusu baada ya kusomewa shitaka la mauaji kwenye mahakama ya Kisutu
Papaa Musofe wa pili kulia,
akiwa amekaa kwenye gari ya polisi chini ya uangalizi mkali, tayari kwa
safari ya kurudi mahabusu.Picha Kwa Hisani Ya Habari Mseto Blog
No comments:
Post a Comment