Gari
iliyokuwa imewabeba madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga
katika msafara wa Mwenge ambayo ilipinduka jana katika kijiji cha Luwa
na kujeruhi vibaya zaidi ya Madiwani watatu, hali iliyosababisha
madiwani hao kukimbizwa hospitali ya mkoa mjini Sumbawanga.
Mmoja
kati ya madiwani wa Halmashauri ya Manispaa waliojeruhiwa vibaya na
kukimbizwa katika hospitali ya mkoa mjini Sumbawanga, akipata huduma ya
kwanza baada ya kunusurika kwenye ajali ya gari walilokuwa wakilitumia
katika msafara wa Mwenge ambayo ilipinduka jana asubuhi katika kijiji
cha Luwa. endelea kupata zaidi kupitia blog audiface jackson,hakuna mtu
aliyefariki dunia katika ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment