G Nako
George
Sixtus Mdemu,maarufu kama G Nako ni mtoto wa pili katika familia ya
watoto watatu,akiwa mtoto wa kiume pekee katika familia yao,alizaliwa
Arusha,akasoma Meru Primary na baadaye Nangwa Tech,alianza muziki mwaka
1999 akiwa ndani ya kundi la Chronic Mob pamoja na Bou Nako na baadaye
mwaka 2004 alihamia kundi la Nako 2 Nako, baadhi ya hits alizohusika ni
pamoja na Ndo Zetu, Bang, Right Here na Bado Ngware,amewahi kufanya kazi
na wasanii kama Lord Eyz,Joh Makini,The Artist na AY
Niki Wa Pili
Jina kamili Nickson Simon,mzawa wa Daraja Mbili Arusha,aliyesoma Arusha Sekondari na chuo kikuu Dar-es-salaam,kichwa cha river camp,mdogo halisi wa hiphop star Joh Makini,anafahamika zaidi kwa hits zake kama good boy,ujamaa na higher,baadhi ya wasanii aliokwisha kufanya nao kazi ni pamoja na Joh Makini,Rama D,Pipi na G nako,Weusi Kampuni

Dwellers
SOURCEhttp://www.djchoka.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment