Izzo
Bizness ft. Belle 9 - Utarudishwa ndio video ambayo inatarajiwa kutoka
kesho katika tv stesheni zote hapa Bongo na Social Network pia utaweza
kuiona video hiyo. Video imetengenezwa na kampuni ya kutengeneza video
inayoitwa E-Media chini ya Dir Nick Dizzo, kaaeni mkao wa kuitizama kwa
maana ni kichupa fulani cha Hip Hop matataaaaa
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,DKT. SAMIA
SULUHU HASSAN, KWA WATANZANIA
-
Ndugu Wananchi;
Leo, tarehe 31 Disemba, tunauhitimisha mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka
2025. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kwa neema ya uhai na afya njema...
12 hours ago
No comments:
Post a Comment