Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 18, 2012

HII KALI:::BAADA YA ANTI EZEKIEL KUONYESHA KICHUPI WEMA AANIKA MAKALIO YAKE WAZI WAZI TAZAMA HAPA,HAYA NDIYO MADUDU YANAYOFANYWA NA WASANII WA MAIGIZO KATIKA FIESTA 2012:





 Huyu ni Anti Ezekiel


Huyu ni Wema Sepetu
BASATA madudu haya yanayofanywa na Wasanii hawa wa maigizo mnayaona? Wanawafundisha nini watoto wetu wadogo wanaoshiriki katika matamasha haya ambao wana nia ya kuwaona wanamuziki wakitumbuiza na wao kuweza kujifunza kutoka kwao ili nao pia waweze kuwa wasanii wa muziki kawa wao!endelea kupitia audiface jackson blogspot kwa habari zaidi
 Ila kwa hawa wa sanaa ya maigizo tutegemee nini kama si zaidi ya kuibua vipaji vya uchangudoa na tabia mbovu isiyokuwa na maadili mazuri hasa kwa sisi watanzania ambao tunaheshimu utamaduni wetu!!!
 Maana sijawahi kuona mastaa Kenya au Uganda wakifanya hivi sijui hawa wetu hawajitambui...

No comments:

Post a Comment