Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Chuo cha UIinzi (National Defence College) leo Septemba 10, 2012 Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles Makalala na kushoto kabisa ni aBalozi wa China nchini Tanzania Mhe. Lu Younqing
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Chuo cha UIinzi
(National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala leo Septemba
10, 2012 baada ya kumkabidhi mfano wa funguo kama ishara ya kufungua
rasmi chuo hicho kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence
College) Meja Jenerali Charles Makalala baada ya kufungua rasmi chuo
hicho kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam. Nyuma yao ni Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha anayefuatana na
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kufungua rasmi Chuo cha UIinzi
(National Defence College) kilichoko Kunduchi jijini Dar es salaam,
pamoja na kuzindua kozi ya kwanza ya mwaka mmoja. Walioketi karibu yake
ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Chuo
hicho, Meja Jenerali Charles Makalala
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment