Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
moja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM mjini Dodoma
wakati wa kikao cha NEC kilichofanyika jana. Kikao hicho kilikuwa cha
mwisho kwa wajumbe wa NEC baada ya kumalizika kwa kipindi cha miaka
mitano ya uongozi wao.Picha na Freddy Maro-IKULU
CAMARTEC YABUNI TEKNOLOJIA MPYA KUINUA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI
-
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kimeanzisha
mbinu mpya za mafunzo kwa wakulima kuhusu usindikaji wa mazao, ikiwemo
mwani korosho...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment