Washiriki
wa Redds Miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya
kuwasili katika kambi yao ya mazoezi kujiandaa na shindano lao
litakalofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Naura Spring jijini
Arusha. Jumla ya waremo 11 wanatarajia kuchuana vikali kuwania taji
hilo. (picha na Father Kidevu Blog).
DC ILALA AMALIZA MGOMO WA WAFANYAKAZI ZAIDI YA 1,500 WA KIWANDA CHA NAMERA,
GONGOLAMBOTO
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amefanikiwa kumaliza mgomo wa
wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa Kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolamboto,
jijini...
6 hours ago



No comments:
Post a Comment