Naibu Waziri wa Kazi na maendeleo ya vijana, Makongoro Mahanga (kulia) akimkabidhi Ngao ya Jamii, Nahodha wa
Simba, Juma Kaseja. Pembeni yake ni beki Nassor Masoud 'Chollo' na kulia kabisa ni
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani.
MABINGWA wa ligi kuu Bara Simba, wametwaa ngao ya Jamii baada ya kuifunga Azam Fc mabao 3-2 katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment