Daraja la Kigamboni likiendelea kujengwa katika bahari ya Hindi eneo la Kurasini. Daraja hilo litakapokamilika litakua na njia 6 pamoja na barabara za juu na kuwa moja ya Daraja kubwa na la kipekee Afrika mashariki na kati.
TIB YAUNGA MKONO AJENDA YA NISHATI SAFI KUELEKEA DIRA 2050
-
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, akimkabidhi Tuzo pamoja na Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
Maendeleo ...
5 hours ago



No comments:
Post a Comment