Je! Wewe ni mwanafunzi wa chuo? Unahitaji mshiko wa ziada tofauti na boom ama mpaka utumiwe na mdingi? Then Tangazo hili chini si la kupuuzia:
TANGAZO KWA WAJASIRIA HIPHOP: Cheusidawa inatafuta wanafunzi wa vyuoni ambao wako tayari kufanya part time work ili kujipatia kipato cha ziada.. esp..wauzaji wa merchandises,cds, books and tix... tuandikie email yenye title hii:: MJASIRIA HIPHOP kwenda humu--> cheusidawatv@gmail.com.
UCSAF Yajivunia Kupeleka Mawasiliano Vijijini, Zaidi ya Minara 2,000
Yajengwa Nchini.
-
Na Belinda Joseph- Dodoma.
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umeendelea kuwa nguzo muhimu katika
kusogeza huduma za mawasiliano karibu na wananchi, hus...
12 hours ago


No comments:
Post a Comment