Mafundi wa Shirika la Reli wakimwaga kokoto kwenye
Reli maeneo
ya Tabata Dampo au Mataa(kutokana na kuwekwa kwa taa
za
kuongozea magari) ikiwa ni sehemu ya ukarabati unaoendelea
ili
kuwezesha Usafiri wa Reli katika Jiji la Dar es salaam kutoka
Stesheni
mpaka Ubungo.

Hivi karibu usafiri huo wa treni kwa wakazi wa jiji la Dar
es Salaam ulizinduliwa na una tarajiwa kuanza kazi
Oktoba 2012

No comments:
Post a Comment