Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 4, 2012

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AUNDA TUME YA UCHUNGUZI KIFO CHA DAUDI MWANGOSI

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MHE. DKT. EMMANUEL
NCHIMBI akiongea na waandishi wa habari leo ofisini kwake jijini Dar essalaam Kuhusu kuunda tume ya uchunguzi na kuipa mwezi mmoja iwe imeshakamilisha uchunguzi wa tukio la kuuwawa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten mkoani Iringa Marehemu Daudi Mwangosi aliyekuwa anaripoti habari katika Vurugu za wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na jeshi la Polisi zilizotokea mkoani Iringa katika kijiji cha Nyololo Wilayani Mufindi

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza waziri Dkt. Nchimbi wakati akitangaza tume ya uchunguzi alieunda kwa kuuwawa kwa mwandishi wa habari Daudi Mwangos

No comments:

Post a Comment