Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!.Chanzo GPL
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment