Polisi aliyejihami kwa bunduki na radio ya mawasiliano, akishika doria kwenye lango la kuingilia chumba cha mahakama ambako watu 29 walifikishwa mahakamani hapo Jumanne Oktoba 16, 2012, wakikabiliwa na mashtaka kadhaa ya kuvamia makanisa, kuharibu, kuiba na kuchoma mali za makanisa hayo wiki iliyopita huko Mbagala jijini Dar es Salaam. Wote wamerejeshwa mahabusu hadi Oktoba 30 ambapo mahakimu waliokuwa wakisikiliza kesi hiyo, wameahidi kutoa uamuzi juu ya hatma ya dhamana. Source:K-VIS BLOG |
Costech na Crdb wazindua Mikopo Nafuu kwa Wabunifu
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza
kuanzisha mpango wa mikopo nafuu kwa wabunifu nc...
56 minutes ago
Yes fundisho.com
ReplyDeletetuna futa udini. Thank you mhkm y kst