Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, wakati Makamu alipofika kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, nje ya Ukumbi wa Mlimani City, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho. Picha na OMR
Mtaji wa Matumaini Wagusa Wakazi Wa Buguruni
-
Katika mtaa wa Mivinjeni kata ya Buguruni, Meridianbet imeendesha kampeni
maalum ya kusaidia familia zenye uhitaji. Tukio hili lilikuwa ni ushuhuda
wa n...
15 hours ago





No comments:
Post a Comment