Askari wa
Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Pacificus Cleophase Simon mwenye namba
G2573 ambaye anadaiwa kumuua Mwandishi wa Habari, Daudi Mwangosi katika
kijiji cha Nyololo, Mufindi akiwa amekaa kwenye benchi muda mfupi kabla
ya kula kiapo chake kwa Mlinzi wa Amani kabla hajafikishwa mahakamani.
NBAA YASHIRIKI MAONESHO YA 50 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA SABASABA 2026
-
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inashiriki
Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 50 yanayoendelea kwenye Viwanja vya
Sabasab...
5 hours ago
.jpg)

No comments:
Post a Comment