Lori la
mafuta limeteketea kwa moto muda mfupi uliopita katikati ya Eneo la
Mlandizi na Chalinze Mpaka sasa Sababu za lori hilo kuwaka moto
hazijajulikana na Hakuna aliyeripoti kufa wala kujeruhiwa mpaka sasa.
Tutazidi kuwajuza kadri taarifa zinavyotufikia kutoka kwa Ripota wetu
aliyepo eneo hilo
HUU NDIO UTOFAUTI WA CCM NA VYAMA VINGINE - KIHONGOSI
-
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Komredi Kenani Labani Kihongosi,ametembelea Shina Namba 7 la CCM katika
Tawi la Many...
3 hours ago


No comments:
Post a Comment