Mawe yametoboa vioo vingi Katika madhabahu,pameharibiwa
Mabenchi yamepinduliwa na kuvunjwa Mimbari imechomwa na kuharibiwa
Ofisi ya Kanisa imechomwa moto Wachungaji wa kanisa hili wakisubiria taarifa kutoka polisi Hawa wanafanya maombi na nimesikia wakiwaombea waislamu mungu awasamehe Vifaa vya uimbaji vimechomwa moto Washarika wakiwa kanisani kwao asubuhi hii Gari la mchungaji pia limeharibiwa kabisa
Ofisi ya mchungaji na mwinjilisti zimeharibiwa kabisa Kushoto ni msikiti walipotokea waislamu kabla ya kuvamia kanisa kulia.nyumba hizi za ibada ziko jirani zikitenganishwa na barabara tu
No comments:
Post a Comment