Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 15, 2012

Mjadala Tafakari:::;::Kwa kitendo cha ITV kurusha mjadala wa kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere bure kwa saa 4, wakati TBC haijajigusa, je, televisheni yaTAIFA ni TBC au ITV?

 
 

1 comment:

  1. Televisheni ya taifa ni TBC, ingawa hawajali maslahi ya taifa, hata kama mambo mengi ya kitaifa yangefanywa na ITV lakini kwa kuwa TBC ndiyo iliyoanzishwa ikiwa ni ya Taifa basi itabaki kuwa ni ya taifa, labda tujiulize kwa kitendo hicho TBC inyang'anywe hadhi ya kuwa Televisheni ya taifa na apewe mtu na ITV Iwe ya taifa...!
    kitu kimoja kitatokea, nayo ITV umiliki wake utaenda Taifani na siku moja itaonekana haifai kuwa ya taifa.
    Cha msingi inapokuwa chombo cha taifa kama hivyo kimejisahau kikumbushwe.
    Hakuna wanadamu wako sawa 100%...
    ila through kukumbushana na kurekebishana tutafika mbali.
    pia si kweli kwamba kwa kuwa ni jambo la taifa basi ni lazima TBC tu ndo ihusike nalo na hakuna TV nyingine inayoweza kujitolea kwa ajili ya mambo ya taifa, itamaanisha kwamba vyombo vingine vya habari havina uzalendo kitu ambacha hakifai kwa taifa.
    ITV ni wa kupongezwa kwa hilo lakini siyo hoja ya kuwa Televisheni ya Taifa sababu huo pia ni wajibu wao kama mojawapo ya chombo cha habari hapa Tanzania

    REGARDS
    HIS HIGHNESS PRINCE OF TANZANIA

    ReplyDelete